HahahahahahahaIyo like ikusaidie kuondoa ubashite
Saaaaaaana Mkuu, uzi unakimbia hatari Mkuu.Ukichelewa dakika 15 nyingi unaukuta Uzi mbali
6,9,4,2,1………
Deka udekezweKandamiza ukandamizwe
Mashati.Kibororoni
Bado anakimyongo na like.Huyu anayeitwa ghuzwat yeye anapost na tunampa Likes ila yeye hatoi likes kwetu.
Sawa mkuu, chukua like hiyo.Anayekupa like mpe asiyekupa mpotezee
Piga upigweTupa.....utupwe