Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nkusaidie cha kusema?Sina hata cha kusema tena!
Miss u too, karibuuuJamani kwema humu. Nime wamiss jamani. Bado mpo?
Hiyo B inakaa wapi Mkuu?Andika neno [ b ]nifundisheni namna ya kubold
Hapo kwenye mabano usiache nafasi na usiitoe b bali uiache humo kisha pemben nje ya mabano ndo uansike maneno utakayo
nifundisheni namna ya kubold maneno
Tupo mama.Jamani kwema humu. Nime wamiss jamani. Bado mpo?
NakujaAisee njoo nikukandamize
Chukua hiyo.Yan nimetoa like adi cm yangu imepata kizunguzungu apa uwe mchoyo like zako kutoa kwangu unakula like ukitoa pia unakula za kitosha
Enhe.....Nkusaidie cha kusema?
Nilikumiss piaJamani kwema humu. Nime wamiss jamani. Bado mpo?