Like kabisa. Jiandae kwa ku-like-waMmeamkaje wapenda like wenzangu?
Ha ha ha ha ha ha nimecheka saaaana.
Aleyn unazingua ujua mm moyo wangu umelalia apo nasubir saa moja baada ya ifutar nisaundisheSorry Madam, can i kiss you?
Chukua like kiroho safi.Maandamano ya amani
Toeni like basi na kwa wenzenuAisee kumenoga humu
Nikunje nikukunjeKunja ukunjwe
Na wewe chukua hiyo Mkuu kichwa kichafuBado anakimyongo na like.
Hahahahaha ngoja nikupe like kiroho safi.
Hapo kwenye mabano usiache nafasi na usiitoe b bali uiache humo kisha pemben nje ya mabano ndo uansike maneno utakayoNifundisheni namna ya kubold
Chukua likeWengine wanapata likes 2 au 3 tu, sijui wanagundu? Ngoja namimi nijaribu nione nyota yangu
Wewe umetoa ngapi?toa....upeweWengine wanapata likes 2 au 3 tu, sijui wanagundu? Ngoja namimi nijaribu nione nyota yangu
Hahahahha Mkuu hata mimi nimetokea kumpendaAleyn unazingua ujua mm moyo wangu umelalia apo nasubir saa moja baada ya ifutar nisaundishe
Hiyo apo mkuuToeni like basi na kwa wenzenu