Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Matamu kama ukiyajuiliamaisha
Ntakua natenda dhambi kuhukumu bila kujua kosaMlaani tu si lazima uione inaweza kukupa mkosi
No!!..hapana asee usitizame kabisa.Mkuu mbona hutaki niione?
yaani utaonekana huna maana hata kidogo...Daladala tu, umekaa pembeni ya mkwe? Mtoto?
Utakuwa uliiweka wewe kwa id fake maana si kwa kung'ang'ana hukoNtakua natenda dhambi kuhukumu bila kujua kosa
Kweli mkuu, kitu kifanyike asee, bad image kwa Uzi huu.Hii picha ukifungua tu sehemu ya uzi huu unaiona iko juu.Jaman mwenye kuweza kuitoa aitoe wakuu inachefua sana
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Nani kaweka duuhHaaha display ya huu uzi ina Fanya huu Uzi kuwa mbovu
Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
Ni kichwa kibovu ninaamini anazo membership nyingi na zamani alikuwa akitesa kwa likes sasa kavuliwa taji kaja na kimkakati cha kuifunga huu uziJana usiku
Alikuja na matusi pia.
Nando's Take Away![emoji39][emoji39]karibuni tule
Hao kina Mod itakua wanaifurahia..kumbe tngu sana ilkuako!!!Hii picha ukifungua tu sehemu ya uzi huu unaiona iko juu.Jaman mwenye kuweza kuitoa aitoe wakuu inachefua sana
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Asante na Kwa bahati mbaya nshaiona afu nimetapika chakula changu nilichokula katikati ya usiku na mchana kutikana na hali kuwa ngumu.No!!..hapana asee usitizame kabisa.
Na ana uwezo wa kuzipata ila mvivuNimeiona sasa hivi. Huyo lengo lake uzi ufungwe. Hata likes hizi unakuta mtu anaumia. Binadamu!