Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Hilo lingenifaa Mimi!My dear pilau la makinikia
Ni pilau ambalo sahani kubwa lakini Nyama inaweza kuwa ama kipande kimoja ama hakuna kabisa[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mkuu,Pokea like kwanza bila nukuu sitoi like ndiyo sera yangu na kila post lazima upate like yangu hata kama umenuia moyoni mwako kuninyima
Kwa nini? Public forums hazina vikwazo
Kama umekwazwa stop posting
Beautiful organKidney
Well said my dearMkuu,
Ni kweli usemayo,
Maudhui ya uzi huu ni kama unavyojielezea tangu mwanzo!
Tujaribu kuwa huru tu,
Nadhani tangu mwanzo hakujakuwa na masharti yoyote labda kama nia ya uzi huu imebadirika kimya kimya.
Hii ni sehemu ya burudani tu ndo maana hata ukipost nukta like ni haki yako.
Sisi ni marafiki tusiojuana, kwa nini tufikie hatua ya kutoelewana?
Tuzidi kuvumiliana kama tunakwazana kwani hakuna aliyekamirika,
na hakuna ajuaye kila kitu wote twajifunza kupitia kwa wengine.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] ninavyo pendaga mie pilau la senene...acha kabisa.Acha tule kama kinalika na hatukwazi watuHilo lingenifaa Mimi!
Maana mimi ni vegetarian!
No meat
No fish
No kuku
Nataka wote tufaidi maisha!
Hahahaha that is me and my life!
Wewe faidi tu nyama zako!
Kila mtu ana uwito wake chini ya jua !
Wakorofi wote waleteni kwangu huku,mm napenda ugomvi kuliko kula 😀😀Mkuu,
Ni kweli usemayo,
Maudhui ya uzi huu ni kama unavyojielezea tangu mwanzo!
Tujaribu kuwa huru tu,
Nadhani tangu mwanzo hakujakuwa na masharti yoyote labda kama nia ya uzi huu imebadirika kimya kimya.
Hii ni sehemu ya burudani tu ndo maana hata ukipost nukta like ni haki yako.
Sisi ni marafiki tusiojuana, kwa nini tufikie hatua ya kutoelewana?
Tuzidi kuvumiliana kama tunakwazana kwani hakuna aliyekamirika,
na hakuna ajuaye kila kitu wote twajifunza kupitia kwa wengine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Amen.Mkuu,

RutashubanyumaNoted!