Maboso [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Niko hapa bar nimekaa jirani na Kinikia moja linanichekea halijui kuwa mimi ni Smelter.
Nahisi kulichenjua lakini nadhani kama madini nitakuta chuma chakavu manake linapiga Balimi na mimi niko ki-Acacia zaidi silipi kodi kwa Makinikia feki
Pata hiyo[emoji106]Wooww!![emoji4] uzuri wako huna wivu sana...nipe 5[emoji109]
Uzi wa kijanja,abarkiwe jembekiloHahaha hahahah.... Huu Uzi umetisha kwa Comment kwa kweli
MODS watakuwa wameuchukia sana huu uzi.
bbmDuh,kweli bongo nyoso.
Sindano unayoUzi uzi.....
Kakimbia pamoja na kichwa kichafuISIS pia kimyaaaa
YopKakimbia pamoja na kichwa kichafu
Na cherehani piaaSindano unayo
Oky chukua na hii mkuuNiko busy nagawa likes