Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Weye huwezi kuwa adui yangu hata kwa sekunde. Kwi kwi kwi kwi.

Hiyo kwi kwi kwi imekutoka kuiukweli eeeeh... poa poa misimamo kama kawa.

Kuandika vizuri hivyo utataka kuanza kunipunguzia vichambo vya jukwaa lile kwako ila unajua sibadilikiiii ng'oo ... itabidi niwe na kaza moyo kama kawa na maneno haya ya upole eeeeh tutakutana kwa uzi huu eeeeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…