Kuna jambo la muhimu namalizia. Uzi huu usipoangalia unaweza kujikuta hata mambo ya maana yanakwama!Nashukuru jamani.
Inaelekea upo biziiii, umepotea.. humu siunajua masaa ni kama siku nyingi eeeeh
MMMHHH MI NAWAZA BALIMU EXTRA 17HOURS.......................16:10
Atakuwa anajiandaa na mechi ya Aston VillaMzee wa liver yuko wapi Wakuu?