Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Na wahenga wapo kibao!Nimegundua kuwa hapa wengi ni vijana
Itakuwa Congo[emoji23] [emoji23]Taifa la wapi mkuu? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yule anayedai kuwa nsamaka ni wake wakati anajua fika nimemlipia mahari ya ng'ombe, ajue fika anachoma moyo wangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Koromije kwema. Unakaribishwa anytime. Ukija na dada nitawachinjia ndama kabisa, tena aliyenona!Namshukuru Mungu hali ipo vizuri.Habari ya koromije shemeji...
Wahenga wa kizazi kipyaNa wahenga wapo kibao!