Hahaha mbavu zanguUmerudi kimya kimya kama lipumba[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kiswahili kibantuKiswahili kigumuuu
La masela kisela zaidiSwimming poolView attachment 545980
Safi sanaGeJo umesema???
Salama kabisa kichwa, habari ya wewe?Habari za wewe?
SharubuNdevu
Naona umeweka makazi ya kudumu hapa.Hahahahaaaaa ....niaje shemeji,muda mrefu sana hatuja onana
Nilikua kwenye majukumu. Mzima wewe?
ShariHaitaki
LikesKashiba
YoteKatumia
KK vipiiiiiiKaribu hadi chumbani si kwa kunitesa kule