Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Halafu cocochanel anataka kutuaminisha eti yeye ni Ajuza lol!


Amependa tu kuniandika hivyo.. na ni ID ngeni kwangu hivyo namsaidia kuburudika

Utafikiri Mwanamke wa miaka yangu haturuhusiwi kujishusha miaka tukaburudika humu JF... utasubiri sana kujua eeeeeh

Halafu unauliza na kumind kama vile unakaka wa kumsukuma akadakwa na mzee mimi... eeeeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…