carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
BarcaReal Madrid
Ligodoro kazini
Usijali nmekuelewaHahahah ni yenyewe
Cole[emoji477][emoji477]Kuna muda nimesoma post umetuaga ukidai baadae au nitakuwa sijaona vizuri?
Habari mzee wa liver ulipotelea wapi mana ulikua unatafutwa huku na ISISHabari za Leo wanalikes
Bro. Kwenye uzi huu watu huwa wanaaga hata mara 10. Ni jambo la kawaida. Tena ukitaka kuondoka uzi ndo unachanganya...[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna muda nimesoma post umetuaga ukidai baadae au nitakuwa sijaona vizuri?
[emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji178] [emoji179] [emoji179] [emoji178] [emoji178]Naimani mmeamka salama
Mapozi ya Tukuyu haya [emoji23][emoji23][emoji23]
Likely photoshop!Huu ni ugonjwa au umbile?
Ni nzuri mpendwa.... za kwako carbaHabari za asubuh wapendwa