Huu uzi kuna watu watafaidi sana, sema ndio vile utafulia baada ya siku moja au mbili [emoji5]️[emoji5]️[emoji5]️
Bora kuendelea na mambo mengine kama maisha yamekushinda
Mada za ki.puuzi kama hizi mwiko JF....Tuko kwenye Makinikia nyie mnata like...???
Haya nipeni hizo likes fasta
Mwenye Enzi Mungu ibariki nchi yangu Tanzania na watu watu wake milele yote
Upungufu wa like ni kama upungufu wa damu tuendelee kuongezeana