Maisha ya huku kwetu uswahilini "tunakula tulichopata, na si kile tunachotaka"Kula kitu nafsi inapenda na sio kujaza tumbo tu.
Hii kitu inapendeza kula kipindi cha baridi inakua na radha ya aina yake[emoji39][emoji39]
Hahaha kiongozi we kweli msanii!!nimerudi,,nilikuwa nasububiri muhindi uive
sana. huku kwetu ndio wakati hasaHii kitu inapendeza kula kipindi cha baridi inakua na radha ya aina yake[emoji39][emoji39]
Daah nakosa uhondo[emoji22][emoji22][emoji22][emoji15][emoji15]sana. huku kwetu ndio wakati hasa
Hapa mpaka kitufe cha like kwanza kijute kuwepo duniani.
Natia LIKE wakuu hadi nachanganyikiwa
Huu uzi sasa sifa maana unatambaa hatari, watu mna kiu ya LIKES!
karibu..Daah nakosa uhondo[emoji22][emoji22][emoji22][emoji15][emoji15]
Asantekaribu..
Uzi mhimu sana huu