Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Ngoja nizime taa kabisaUsiku mwema
Tumejaa tele kama pishi ya mchele wa Kyela.
Ugali umeivaHakuna stori zaidi ya kusubiri tar 12/8
Mi sipo
KaribuHakuna stori zaidi ya kusubiri tar 12/8
Bro, cheki kama geti, milango na madirisha vimefungwa kwanza kabla hujazima taa. Siku imeendaje?Ngoja nizime taa kabisa
Kipenzi.
Pamoja sanaNdio kiongozi
Za jioniBro, cheki kama geti, milango na madirisha vimefungwa kwanza kabla hujazima taa. Siku imeendaje?
Siku ilikuwa vyema Tu naona ndo unatoka chimboBro, cheki kama geti, milango na madirisha vimefungwa kwanza kabla hujazima taa. Siku imeendaje?