Kushoto Msukuma kulia Mnyakyusa. Ngoma drooo!
Impressive sasa tusake 1m likes baada ya kuvuka lengoAnother awesome performance kutoka uzi huu. Hongera zako Kichwa. You just crossed the 100K mark. Kibiti kesho sherehe tupu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kushoto Msukuma kulia Mnyakyusa. Ngoma drooo!
Njema mkuu. Naona unaendelea kugonga SPOILER tu bila wasiwasi. Uzi huu raha sana!Za jioni
Mkuu haka tarehe vipi 12/08Hakuna stori zaidi ya kusubiri tar 12/8
Yeah. Maisha haya ni shida. Najua hutakaa hapa muda mrefu kabla shemeji hajakuita. Msalimie....Siku ilikuwa vyema Tu naona ndo unatoka chimbo
Pokea like mwenyekitiNumbisa Wakuu hawajakussumbua?
Za alinachaTanzania ya viwonder