hahaaaa kweli kabisaMwisho wake ni pale utakapoishiwa bando
Mambo ya ukitaka ule, sharti uliwe kidogo cc jkNimewahudumia naomba mnihudumie kwa likes nyingiiii
hahaaaa kweli kabisaMwisho wake ni pale utakapoishiwa bando
So what!Tit for tat
Makapuku wamekumbwa na kimbunga TrumpNAUNGA MKONO HOJA
HahahahaaTayari umejazwa!!!? Kwa hali hii usingeweza kubaki salama
Plus faru johnNchi ya mindege na makinikia
Samahani Dada. Naomba nikuoetupo mkuu kula hiyo kwanza
Nimekuongeza na nyingineSasa je!
Haina shidaYaan kuna watu tangu juzi wanakesha nao. Hawalali
Mkuu ile sehemu ya 4 inaendelea lini kwenye ile mission ya Entebe?"...kimbiza kimbiza Usain Bolt... Huu uzi uko hot, uko center bolt.."
- Weusi, Gere refix
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Asante nawe pia pacha wanguSawa pacha. Ngoja tuendelee nazo.
Uwe na jumapili njema pacha wangu
Haaaaa vp weweMmh.
HahahahaBado nasema watanzania wengi wanaroho mbaya ya wivu, mnashindwaje kumpa mleta mada likes jamani hata kufika nusu ya posts...duh!