Is hereAliko dangote
Sasa unamwambia nani?
Huyo unayemtusi yupo humu?
Au umeandika ili upewe likes?
Ingekuwa ni uungwana kama ungemfata IG mkatukanana kuliko kutukana chinichini hizo ni dalili za kinafiki, uoga na uswahili uliopitiliza.
Ndio hivyo hatutaki mambo ya uswahili humuShukran
AiseeBado watu 1600+ uzi ufikishe views 2M
babe STena...
Good moveBado watu 1600+ uzi ufikishe views 2M
Ndio hivyo hatutaki mambo ya uswahili humu
Ungekuwa muungwana ungemtusi huyo dada huko huko IG kuliko kutuletea uchonganishi huku jukwaani.
HONGERA KWAO.DC KINONDONI.. ALLY HAPI APATA MTOTO WA KIKE. . . BY @ally_hapi - Wiki iliyopita Mwenyeezi Mungu alitujaalia mimi &mke wangu a beautiful baby girl alhamdulillah. Tunamuomba Mwenyeezi Mungu amlinde na kumkuza katika maadili mema awe kheri kwa wazazi wake, kwa jamii na nchi yake kwa ujumla. Tumempatia jina la 'Ummul khair' (mama wa kheri).View attachment 547328
Humu naleta ninavyotoa mtandaon. Maneno yangu yanajulikanaNumbisa [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Mrs Van
PICHA BILA MAELEZO NI SAWA NA UGALI BILA MBOGA.
HONGERA KWAO.
PICHA BILA MAELEZO NI SAWA NA UGALI BILA MBOGA.