Mchawi mpe mwanao alee. Toka amepata uenyekiti kibiti pamekuwa na amaniKK yuko salama. Tena tangu awe mwenyekiti huko Kibiti kumetulia kabisa!
Ngoja ajeHahahaah Andjul
Nipo mkuu
Nafurahi kusikia hivyo. Huku kwema kabisa. Tupo na akina Cole hapa.Nashukuru shemeji mimi ni mzima sijui wewe
Waafrika hapo ni kweli kabisa. Hatujasingiziwa!heheheheh
Na pm si sehemu ya kutukana...kwanza kwanini umtukane mtu?kwa kipi hasa?Tunaomba upost chochote
Lakini matusi sio powa
Ukiona kakukwaza kamtukane PM
Amani Upendo Utulivu UvumilivuMkuu tangu unifahamu ulishaona mahali nimemtusi mtu?
.ukiona mpk nimetukana ujue huyu binti kanikosea heshima sana
Waafrika hapo ni kweli kabisa. Hatujasingiziwa!
AmenAmani Upendo Utulivu Uvumilivu
Vitawale katika Uzi wetu huu pendwa
[emoji47][emoji47][emoji47][emoji47]na sija likeWadada
Wote
Wenye Tabia
Njema mta like post hii
Wadada narudia Wadada