Sema mkuu!
Kama kawa! Pumzika salama.Ngoja nipumzike kidogo..nikistuka nagonga likes
Nini hii? Denda ama?
Kamuulize huyu kama alikula asali!Fata nyuki ule asali.
Tangu uniporomoshee matusi siku ile najaribu sana kukukwepa mkuu kwa sababu sitaki kula ban. Ngoja tu nikupe likes mengine yaache. Au nipe binti mmoja kutoka huko Tanga nasikia wanajua mapenzi sana! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja nipumzike kidogo..nikistuka nagonga likes