Yup!Mh! from Zulekha to July?
Spirits!Mie nikikumbuka vituko vya walevi wangu huwa natabasamu tu! Kweli pombe si maji! Wahenga hawakukosea kabisa.
Hahahaha
Kwa kweli inaniondolea stress
Mimi ni mfanya biashara!
Sasa badala ya kuwaza
Naingia kwenye likes na kuiachia UNIVERSE ifanye kazi!
Yup!
Hainaga kwa kweli!Ndiyo sababu na kama ndiyo hivyo kukutoa pale kileleni itakuwa ni kazi kubwa mno. Hainaga stress hii.