Kitabu cha Mhubiri mfalme Suleman alishusha mawe ya uhakika mpaka anatisha. Ni mojawapo ya vitabu ambavyo ukivisoma kwa utulivu vinabadilisha kabisa perspective nzima ya maisha. Conclusion kuhusu maisha: Yote ni ubatili...Ni sawa na kujilisha upepo!Wakati wa jua na wakati wa mwezi
Good afternoon shimba wangu, njoo nyumbani kwanzaYou are just oozing happiness. Am I doing the right things or what? Good afternoon Jakitoo!
AMUN RATumshukuru sana.
Sawa shem. Ntamcheki. Naona na avatar mpya. Tena isiyo na ile miwani...mh!Nashukuru Mungu jumamosi ni njema kabisa...Cole hajambo yupo humu
Kumbe unα kids!!I love my children they are my heart and soul forever