Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Nimeona uwepo wako maana nimefika mikonini mwqkoNitapita baadae kuja kuwasalimia na kuwapa likes
Kwa niaba ya numbisa nimezipokea ..zitamfikia popote alipoNumbisa Popote ulipo tumekumiss sana hapa. Pokea salaam za upendo toka kwa wanauzi wenzako
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawe pia jmos njema japo nimechelewaNaomba niwatakie jumamosi njema
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]hahaha nitamtafutia lijibaba limoja humu alianza kuimba parables atakonda mwenyewe
Labda ana maanisha yale mapenzi ya kuchepukaKwa nini unasema hivyo shemeji? Bro ikitokea akanenepa kuwa hivyo utamuacha?
Mapenzi hayachagui....
Hakuna neno ila tukiona post yako lazima tutwange likes.
Pokea
20:5620:53
Tema
Akili za watu wa humu ndani Mungu ndo anajua*BREAKING* *NEWS*
Tanzania yaweka rekodi ya dunia kwakuwa nchi ya kwanza duniani kugundua kifaa kinachosaidia kubaini uchochezi kwenye mkojo!
Pia uchochezi unaweza kupatikana nyumbani, kwahyo lazima wakakukague huko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Fanya kitu likes hapo ili wanauzi wakumwagie sifasalama kabisaa mkuu ndo natulia hapa kuanza kutiririsha likes