Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Nani anabisha uswazi hakuna mipasho yaani kubum kubam. [emoji445] [emoji445] [emoji445]Kubum kubam
Embu njoo chumbaniThe river between
[emoji445] [emoji445] [emoji444] [emoji445] [emoji443] [emoji445] [emoji444] [emoji444] [emoji443] [emoji443] [emoji445]mwambie wataka kuja
ili apate kwachia
maamuzi yako upande
bila kuwa wake upande
huoni we wateseka
kwake ni kama mateka
wahitaji pumziko
niko kwa aajili yakoo
naimba tu 😛😛😛😛😛
Hahahaha si mchezoHuko hakukaliki, watu wana hasira si mchezo, unaweza zimika kama una pressure
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahaha menMen!
Safi kiongozi, naona unavyo burudisha member kwa kuwamwagilia wino wa blueBoss kiongozi heshima yako