Naa nite!Baadaeni...
Uniq anakuita nini bageshi? Lalaga chiza!Baadaeni...
Miti mirefuNina kakibanda hapo Mwanza. Nyamagana sehemu gani?
Sawa. Napafahamu vizuri mno!Miti mirefu
Usije kugonga tu.Sawa. Napafahamu vizuri mno!
Unamaanisha nini? Kuja bila taarifa ama?Usije kugonga tu.
Sema mkuu. Jumapili hii mbona umejidamka sana? Unawahi kanisani ama?Pateni like mliokesha
Ndio. ...maana uwezekano wa kukukimbia mkubwaUnamaanisha nini? Kuja bila taarifa ama?
Mko vizuri
Hallo bbadeHello Marcus
Hallo bbade
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usingizi umekata? Au umetoka kukojoza mtoto
Usingizi umekata.Usingizi umekata? Au umetoka kukojoza mtoto
Nani siku hizi anakwenda kwa mtu bila taarifa? Labda huku kwetu vijijini lakini mjini na maisha haya magumu. Lazima kutoa taarifa!Ndio. ...maana uwezekano wa kukukimbia mkubwa
Walakini hizo laughter?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haujakata sijalala badoUsingizi umekata.
Vipi na wewe
Niko najiandaa na ibada ya kwanza ..Sema mkuu. Jumapili hii mbona umejidamka sana? Unawahi kanisani ama?