myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Bado ngoma mbichi kabisa. Kwa Gwajima kule hata uende jioni sawa tu...Niko najiandaa na ibada ya kwanza ..
Nyie vipi
Naona walipita kukagua Kiingereza. Ma-great Thinkers utawaweza?Naona na wakubwa wanapita huku
Sisi tunahitaji burudani wao wanataka umaarufu..Naona walipita kukagua Kiingereza. Ma-great Thinkers utawaweza?
Nakuombea upate ubavu uliotokeaYes hun
Haaa haaaa haaaaa....Bado ngoma mbichi kabisa. Kwa Gwajima kule hata uende jioni sawa tu...
UbarikiweNakuombea upate ubavu uliotokea
Na wewe piaUbarikiwe
Nawe pia..J2 njema wapendwa.