[emoji120][emoji120]Nawe pia..
Hongera nyingi sana kwenuNipo mkuu tatizo majukumu yamenizidi mke wangu kaniletea zawadi duniani
Asante mkuu kumbe na wewe upo huku?Hongera nyingi sana kwenu
Nikijiunga na zile bundle zetu za usiku ndio napatikana. Salama?Asante mkuu kumbe na wewe upo huku?
Salama.Nikijiunga na zile bundle zetu za usiku ndio napatikana. Salama?
[emoji120][emoji120]Salama.
Kacnia awarded you a tropy
(Smart new comer)
Hongera sana mkuu.Ni juzi tu na wewe umetoka kuzaliwa...kijana unajua kurenga[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nipo mkuu tatizo majukumu yamenizidi mke wangu kaniletea zawadi duniani
Habari ya asubuhi mkuu05:00
Salama mkuu. Kwenu mmesalimika? Heshima nyingi kwako mkuuHabari ya asubuhi mkuu
Mungu ana endelea kutupigania kwa mema.Ni asubuhi nyingine njema,tukatende yatakayo pendeza machoni pa Bwana Mungu wetu aliye haiSalama mkuu. Kwenu mmesalimika? Heshima nyingi kwako mkuu
Hahahahaha asante sana mkuu shabaha yangu sio ya nchi hiiHongera sana mkuu.Ni juzi tu na wewe umetoka kuzaliwa...kijana unajua kurenga[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na iwe hivyo..Mungu ana endelea kutupigania kwa mema.Ni asubuhi nyingine njema,tukatende yatakayo pendeza machoni pa Bwana Mungu wetu aliye hai
Hongera mkuu..tuko pamoja. Baraka zikushukie na familia yakoISIS
MYOYAMBENDI
SHIMBA YA BUYENZE
KICHWA KICHAFU (ninja)
CARBAMAZEPINE
COLE WILLIAMS
NUMBISA
MZEE WA LIVER
STUNNACATER
JAKITOO
KISU CHA NGARIBA
ANDJUL
& WEWE UNAESOMA
I miss your company guys! May God grant you long life that you may mantain the same level speed of your thumbs in term of giving and receiving likes
Kacnia awarded you a trophy
(The best familly)
AMENHongera mkuu..tuko pamoja. Baraka zikushukie na familia yako