Good morning
"Baba amejua,amesema kamlete mpumbavu wako hapa" kibaya zaidi binti anatokea paleee kwenye kota za FFU[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
I see... Mkuu hongera sana na Hongera Pia kwa shemeji yetu....Nipo mkuu tatizo majukumu yamenizidi mke wangu kaniletea zawadi duniani