cherie neisha
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,873
- 20,705
BritishBroadcast
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hakuna wa kutukana wakunga labda wahenga
Kweli kabisaUjumbe wangu wa jumapili:
Kama bado unaishi,huna sababu ya kukata tamaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa sawa my princess[emoji23][emoji23]sasa msituchanganye tu
Ndio lengo la uziHumu napapenda mana ukiwa na ujumbe wowote ule au wazo lolote unatupia,hongera ziende kwa mleta uzi
Sent using Jamii Forums mobile app