carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Naomba nanii yule naniii yuleee apate huu ujumbe"Madaraka ni kama mchanga. Jinsi unavyoyakumbatia kiganjani ndivyo yanavyokuponyoka." *Confucus*
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]"Sote tumezaliwa wajinga, tunahitaji bidii kidogo ili kuwa na maarifa, au bidii kubwa sana ili kuendelea kubaki wapumbavu. Baadhi huchagua njia ya pili." *Benjamin_Franklin*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wazee wa kujishtukia wapoo,wenye ujumbe wao wametulia wanasikiza kwa maakiniUnaweza kuta
Mtu anarukia huu ujumbe
Akifikiri ni wake
Sema bro. Mbona unaondoka taratiiiiibu?[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Hata yuleeee eeh yule yule anafanana na huyo. "Rais ni mtu wa kushutumiwa kila mara. Ukiona hataki kushutumiwa, ujue hajui sababu ya kuwa hapo." *Harry_Truman*
[emoji818] Kwa mara ya kwanza Wamarekani wamepata rais ambaye hataki kushtumiwa. Ukimgusa tu jiandae kula za uso kupitia tweets...
Jioni gravity inakuwa imeshakugandamiza sana au inakuwaje?