Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Sema mkuu mwenye iPhone 7. Karibu sana. Hata watumiaji wa TECNO tupo tumejaa tele! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Habari za humu
iPhone 7 /A1786)
Haonekani ndugu yetu, hatujui kilichompataThe chosen one umetekwa?huonekani humu
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Kiswahili ni kipana, kufa na kufariki ni neno moja, ispokuwa tukisema juma "amekufa"'tumechagua neno lenye ukakasi ambalo tulipaswa tulitumie kwa viumbe wengine. Hivyo inafaa tuseme juma amefariki
Sent using Jamii Forums mobile app
183.9k184 k
Duu we carb wewe hapa pana ubuyu kweli?sammyluv popote ulipo njoo huku unapitwa na ubuyu grade1
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Usiwe kama mshumaa kuwamulikia wenzako wakati wewe unasinyaa na kuteketea.