Like bila maarifa ni sawa na kufunga bila salaHapa ni like tu
[emoji621] [emoji621] [emoji621] [emoji106]Hapa ni like tu
Karibuni futari wakuu
Klop anatuzingua sana lakini wamiliki watatoa neno muda si mrefuMzee wa liver usajili ukoje
Pokea like ya kufuturiaKaribuni futari wakuu
Amka basi, umelala mda wote jmnTayari
Sawa bila likeSawa
Yaani ni shida[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
hahahahahaaa like kwanza maarifa baadaeLike bila maarifa ni sawa na kufunga bila sala
Karibia bathiiNiambie
Niambie rafiki
Na mimi nishakujaza. Ni mwendo wa jaza ujazwe[emoji23]mimi nishakujaza like yangu
TiyariKula like
TayariKula like
Malike hayajawahi kumwacha mtu salama [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwageni ma like
Sana sanaMambo ya like matamu sana