Tubarikiwe sote Mkuu
SHIMBA YA BUYENZE. Nafurahi kuwepo kwenye huu uzi nasikitika tu sikuja mapema pamoja na nilikuwa nauona lakini nilikuwa naupotezea.
Kuna watu hapa wastaarabu na waungwana sana na wanaonyesha jinsi wanavyokujali, kukuheshimu na kuthamini uwepo wako katika uzi huu. Na ni kweli umeniwekea likes nyingi sana na bado unaniwekea, niwe mkweli tu kwamba nilikuwa nimekuweka kwenye list yangu ya watu niliowaignore lakini nimekuondoa huko tangu Jumamosi Mkuu.
Shukrani sana Mkuu kwa uelewa wako mkubwa. Tupo pamoja Mkuu na ahsante sana.