Moudgulf ndio nani???Ya mahari ya nsamaka toka kwa moudgulf[emoji2][emoji2]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ungeseemaa sasa[emoji23][emoji23][emoji23]kukubembeleza nilimaanisha[emoji23][emoji23][emoji23]
Una hatari ya kupata ugonjwa wa pwani, subiri si muda mrefu utaanza kuvaa msuliUtapotea wewe...sijaanza leo na hizo heka heka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
CleverKING kulikoni tena na busara zako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mapenzi ya kupenda AVATAR FAKE..!!
Na hao wawili wamrudishie hela zake tafadhari......
Uzi umepoteza DIRA..!!CleverKING kulikoni tena na busara zako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sikupotea sana nilikuja kukutafuta ulisema j4 unamaliza. [emoji23] [emoji23]
Ongeza speed kwenye Ku comment, hapa likes tu kula kwenuNimeshtuka nina upungufu wa likes