Ngoja nikutaje tena hapa mpaka mzee mwenzangu muuachie unadhani madeni yake mi nitaweza kulipa ho chi minh naomba muuache huyo mzee.Hahahaha
I really appreciate the way you care for me
Mzee wa liver
Hahahahamzee wa liver's queen,
[emoji120][emoji120]Heshima kwako pia
Mhhh hahahahahaMapenzi ya kupenda AVATAR FAKE..!!
YeuwiiNgoja nikutaje tena hapa mpaka mzee mwenzangu muuachie unadhani madeni yake mi nitaweza kulipa ho chi minh naomba muuache huyo mzee.
Heri angekuwa ameondoks bila madeni
[emoji17][emoji17][emoji17]Jaman jaman ao hackers
Hahaha mimecheka sanaUna hatari ya kupata ugonjwa wa pwani, subiri si muda mrefu utaanza kuvaa msuli
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio vizuri kufukua makaburi ujueTeh teh teh
ho chi minh mnamrudisha lini huyo mzee watu wameanza kuuza mashamba yangu ya matikiti kulipa madeni yao maana mzee huyo ni zaidi ya nduguKichwa nilikuambia usimtaje my Queen hohoooooo