Asubuhi speed ilikua kubwa sana...kesho mwendo ukiwa hivi 200k tunatimizaLeo peke yake tumepiga 5k,sidhani kama imewahi kitokea
[emoji2][emoji2]haya ndo mapenzi ya kweli aiseeh
[emoji23][emoji23]bongo movie kazini
Usiku mwema ulale salama...mimi nahama jukwaa narudi mmuCarba huku baridi sasa ni 8°C,naenda kulala jibapa limeisha
Ahsante mamaangu, nakupenda sana.Lala salama nawe pia195k[emoji122][emoji122][emoji122]
[emoji4][emoji4]Ahsante mamaangu, nakupenda sana.Lala salama nawe pia
Nini tena??[emoji4][emoji4]
Wengine wanafuatilia ubuyu hahaha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hii JF kuna watu wasanii kweliAcha nizime taa humu mana wote washalala
Shemeji kwema?Acha nizime taa humu mana wote washalala
Kweli tupu! [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Hizo akili za jamaica huku ukielekea moshiHIVI UKIPANDA MCHICHA UNAWEZA KUKAA SITI YA MBELE??
[HASHTAG]#AkiliZaUsiku[/HASHTAG]
Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
Safi kabisa!