hapa kaanza kujibadiliWazungu walimchanganya kijana
Jamani andjul hajaonekana humu?
Mzima sijui wewe....habari ya tangu jana?Salama mama,mzima?
OK kama ni hivyo lakini mpka mtoto alilishwa sumu Kali kuwa baba ndiye chanzo ya yoteNasikia sio kweli
Huyo Mama alikuwa na matatizo
Tangu zamani
Believe me UNIVERSE haikosei hata mara mmoja
Bobby Brown is totally innocent
Nishamuona Numbisa asanteKaonekana
Mzungu kaa nae kwa akilihapa kaanza kujibadili