Nipo fine kabisaThanks to God am good,hope u too.
[emoji3] [emoji3] [emoji3]FAAIDA YA KUWA NA MADENI 1. Kuchangamka Kwa Ubongo,Yaani Akija Anayekudai Unakuwa Umeshaandaa Majibu Mazuri Ya Kumpa Na Anaondoka Akitabasamu Bila hela,
2. Kuwa Na Akili Nyingi, Maana Madeni Humfanya Mtu Aishi Kwa Wasiwasi Na Kama Mnavyojua Wasi Wasi Ndo Akili..
3. Mazoezi Ya Viungo, Anayekudai Atajifanya Akulie Timing Saa Kumi Na Moja Alfajiri Kumbe Wewe Ushaaplan Utoke Saa Kumi Kumkimbia,
4. Madeni Huzuia Sound Pollution Yaani Hata Kama Umelewa Na Ulikuwa Ukiimba Nyimbo Njia Nzima Ukipita Mtaa Anaoishi Anayekudai Tu Unanyamaza Automatic Na Hata Ukifika geto Pia Majirani Zako Wanapumua Maana Huwashi Kile Ki - Sabuufa Chako Pasua kichwa..
5. Kupungua Ama Kuzorota Ķwa Kitambi, Anayekudai Akikusakama Sana Nayo Sometimes Inapelekea Kuyeyuka Kwa Mafuta Yazungukayo Tumbo Hivyo Kiafya Unatengemaa..
Good to hear that.Nipo fine kabisa
Hili jamaa kila muvi yake ni katili
wakuu habari
CleverKING umeamua kuniambia ukweli kisa sijakulipa.FAAIDA YA KUWA NA MADENI 1. Kuchangamka Kwa Ubongo,Yaani Akija Anayekudai Unakuwa Umeshaandaa Majibu Mazuri Ya Kumpa Na Anaondoka Akitabasamu Bila hela,
2. Kuwa Na Akili Nyingi, Maana Madeni Humfanya Mtu Aishi Kwa Wasiwasi Na Kama Mnavyojua Wasi Wasi Ndo Akili..
3. Mazoezi Ya Viungo, Anayekudai Atajifanya Akulie Timing Saa Kumi Na Moja Alfajiri Kumbe Wewe Ushaaplan Utoke Saa Kumi Kumkimbia,
4. Madeni Huzuia Sound Pollution Yaani Hata Kama Umelewa Na Ulikuwa Ukiimba Nyimbo Njia Nzima Ukipita Mtaa Anaoishi Anayekudai Tu Unanyamaza Automatic Na Hata Ukifika geto Pia Majirani Zako Wanapumua Maana Huwashi Kile Ki - Sabuufa Chako Pasua kichwa..
5. Kupungua Ama Kuzorota Ķwa Kitambi, Anayekudai Akikusakama Sana Nayo Sometimes Inapelekea Kuyeyuka Kwa Mafuta Yazungukayo Tumbo Hivyo Kiafya Unatengemaa..
Hili jamaa kila muvi yake ni katili
Dawa ya deni ni kulipa sio kulikimbia.CleverKING umeamua kuambia ukweli kisa sijakulipa.
Kumekucha ndugaselikunekuchwa wakina nyani ngabu ,kichwa kichafu,babe s, mzee wa live,na wengne weng kutoa like zenu
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Kama AMRISH PURI