Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Mwenyekiti we endelea na kuratibu mambo ya humu.Kichwa Kichafu nimempa secta ya uvumbuaji vipaji mapokezi nipo mimi mwenyekiki
Tumezipokea salamuHabari nawasalimu wote heshima yenu.
Nitakulipa tu mkuu[emoji23] [emoji23]Dawa ya deni ni kulipa sio kulikimbia.
Asante sana kiongozi.Tumezipokea salamu
Ukichelewa nakuja huko kwako,nitasomba kila kitu mpaka vijiko vya chai 😀😀Nitakulipa tu mkuu[emoji23] [emoji23]
kaachika kwa mwarabu. ila bado 'yumo pamoja na kuzaa na umri kwenda
Karibu sana mkuu.kunekuchwa wakina nyani ngabu ,kichwa kichafu,babe s, mzee wa live,na wengne weng kutoa like zenu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]kaachika kwa mwarabu. ila bado 'yumo pamoja na kuzaa na umri kwenda
Tatizo mbinu zangu umekwisha ziandika hapo juuUkichelewa nakuja huko kwako,nitasomba kila kitu mpaka vijiko vya chai 😀😀
11:1111:10
KichwaNitarudi wakuu.