Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Bro kwema Tu, najaribuLaivu kabisa nimeingia kwenye parabo. Kwema bro?
Ukiwafatilia sana wanaumiza kichwa sana, yaan unaweza mpaka ukawa na kichwa kichafu.Watu wa conspiracy wanasema Hitler alitimkia zake Argentina na alifariki miaka mitano iliyopita!
Fuatilia utagundua bro...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bro embu nijuze nini kinaendelea hapa.
Nimecheka sanaDuh!
GoodAndjul ndio mwenye mke na ndie alietoa mahari.
DicloparSiyo zote. Nyingi tu zinapikwa. Mf. Pharmaceutical company wanatengeneza kidonge. Wanajua kina madhara makubwa kwa watumiaji (wa muda mrefu). Wanaajiri wanasayansi na madaktari wao wa kukifanyia majaribio. Tafiti zikitoka data zimepikwa balaa. Kidonge kinatangazwa kuwa ni silaha mpya dhidi ya ugonjwja husika. Pharmaceutical company wanapiga hela ndefu. Baada ya miaka 10 watumiaji wanaanza kupata matatizo. Pharma wanashtakiwa na kupigwa faini let's say ya $ bilioni moja wakati kidonge hicho kimeshawaingizia $ bilioni 10+. Wanalipa. Kidonge kinakuwa pulled out of the market...na maisha yanaendelea!
Hapana. Namaanisha kwamba ukioa ndiyo unaanza kuona wanawake wengine wazuri zaidi tena kwa wingi...Kwa hyo unataka kusema
Nimeingia mkenge kuchukua
Mtoto mzuri carbamazepine
YaahHave you?