Acha tu nikae kimyaTeh teh teh huu mguno sidhani kama utaniacha salama
Mtoto anaona aibu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kumeanza kutulia; na hilo ni jambo jema. Tatizo ni kwamba sina uhakika kama tunajua kiini hasa cha tatizo hilo ili tuweze kuzuia tena lisijitokeze kwingine...Huko bado si salama Mkuu, usipende pende kuonyesha sura yako. Bado tunakuhitaji sana humu.
Shiwaladu nakuona[emoji23][emoji23][emoji23]au unataka niseme nilikokukuta jana??carbamazepine na andjul wamekuwa popo wanaweza kupiga mida ya wanga
AsantePongezi kwako pia
[emoji23][emoji23][emoji23]sema jana nilikunawa acha kabisa,hadi nikawa nacheka mwenyeweSi unajua mi kama maji.
Usipo nioga utanimwa. [emoji23] [emoji23]
Hata mimi nashangaaa shemeji SYB anapiga makelele yote Yale ili iweje?? Wewe ni brother, sitakuangusha,hata carba afanyaje...sitamuangusha kizembe.Uwe na amani tu bro....I believe ndugu yangu Andjul uwezi
Nichukulia Furaha yangu