Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Kaka
Mkuu mbona hivyo?Sema nsamaka
Watu na vyakula vyao hahaa tayari ushaanza toa udenda kwa Mapalage..Michembe na maziwa maliboto dah!
Hahahaa mna vituko humuMkuu mbona hivyo?
Ukweli unajulikana kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Watu na vyakula vyao hahaa tayari ushaanza toa udenda kwa Mapalage..
Beautiful
Vibanda vipo lakini watu wanakula kama snacks tu kutuliza njaa. Wakifika home ndo sasa wanakula mlo kamili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yummy msisingizie wanaume wa dar wakati hata mikoani kuna vibanda vya chipsView attachment 551189