Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hapana mkuu humu kwema kabisa ila kama shughuli za kila siku ila ninapokwenda sitopata mda kabisa.
Naamini ukimuomba Mungu, nafasi utapata tu,japo dakika kumi zile za kubrashi viatu.Kama ni wa upande wa kule na unaenda kwa ajili ya ile ya miezi kadhaa,basi,tumia MM kuingia JF...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] usijali sana maneno yangu.Nitakukumbuka sana brother..
 
Wengi hawajui hilo tumevuka vingi kipenzi
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] mjomba bado nakutafuta kama unaniskia mjomba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…