My love she is Real
Hajawai fake
Ndo mana nipo nae.
Hapana mkuu.Kumbe mna-like kwa kujuana. Kuna wengine waandika namba tu wanapata like nyingi. Mimi utaona mtu anapita tu. Loo! hadi like mtu uwe na connection.
HahahahahaNipo mheshimiwa, cku hizi kila kitu watu wanasema magufuli kabana lazima watu tupotee.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sina muda wa kusoma mana hamna ulichoandika
Lipia hili tangazoHapana mkuu.
Likes tunagawa kwa kila post ila ni mda tu ndio tunatofautiana maana tunapita kwa kila post.
Karibu sana mkuu.
Ongeza post
Si unajua nilikuwa nauliza ninachokijua hunter.Hunter hujui kwani nilipotea nae??? ila nipo aisee