MBIIRWA
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 2,634
- 5,373
Miss u too pacha, nilijiuliza umebanwa na majukumu umechelewa kufika hapaMiss u pacha. Mzima weye?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miss u too pacha, nilijiuliza umebanwa na majukumu umechelewa kufika hapaMiss u pacha. Mzima weye?
Umeonaeepicha kali sana
[emoji2] [emoji2] hapa ni bonyeza ubonyezwe...gonga na ugongwe like kibao [emoji13] [emoji13]
Basi asante, some how roho imetulia.We pia nimeku miss jamani [emoji85] [emoji85] [emoji85]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mkuu umetisha sana chukua na ww hyoJombaa narudia tena kula ma likes.
Ahsante sana pacha ake. Nilikuwa busy kidogo ila sasa imekwisha.Miss u too, nilijiuliza umebanwa na majukumu umechelewa kufika hapa
Lol. [emoji23] [emoji23]Basi asante, some how roho imetulia.
Mimi mniacge na emmyta wangu hapa nitakuwa serious kidogoMmeshaanza hebu acheni hizo.
Ahsante sana pacha ake. Nilikuwa busy kidogo ila sasa imekwisha.
Nyumbani hawajambo?
Ahsante hata nami nimefurahi kukuona handsome.Nimefurah kukuona tu mrembo
Hahaha salama hapo ulipo dada ake?Lol. [emoji23] [emoji23]
Wewe.acha uoga.leo sikukuu ya likes.haujirudii tena mpaka mwakani.shauri zako.Wakuu, zimetosha! ASANTENI SANA.
Hahahanapendaga makomenti ma like
napendaga makiki kama msanii..
mimi Bashite
Hahahha, kwa sasa inabid ujipende mwenyewe kwanza, au wewe hujipendi?Unajipenda wewe lol
Uuwi. [emoji134] [emoji134] [emoji134] Mpaka uombe ruhusa kuna pacha wangu hapa.Mimi mniacge na emmyta wangu hapa nitakuwa serious kidogo