Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Lazima tuanzishe maandamano....Hivi MODS wakiufuta huu uzi na like zinasepa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima tuanzishe maandamano....Hivi MODS wakiufuta huu uzi na like zinasepa.
ngoja nikutembezee like za kutoshaUmelewa like wewe ngoja ni like kwanza
Nimecheka sana......... ngoja niendelee kusubiri muujizaWe gonga like tu utaona muujiza wa like zaidi ya tano utaanza na wewe.
Kabisa miaka yote ila usiishie hapo hata tukiishiwa MB tuwe tunasaidiana basi jamani. [emoji125] [emoji125]Upendo udumu
HaswaaHa ha mpaka kieleweke.
hawana ubavu huo.Hivi MODS wakiufuta huu uzi na like zinasepa.
Mtoto angesikia, nisingeenda kazini, jinsi anavyonipenda we acha tuJamaaani
Kwa wewe nitakuwa mpole tuAisee ndio unakuja au hauji umekasirika. Sema tu. [emoji85] [emoji85]
Hahaa labdaHahaa. Sio ya Jf [emoji23] [emoji23]
Tukimbizane nalo hamna namnaLi Uzi linakimbia hili
Nawe ni ni nimekupa!Mi nakupa tu kama hutaki ifute. [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aisee raha kama kugawana makinikia
Kabla ya maandamano tunagonga like kwanza.Lazima tuanzishe maandamano....
Tuna tengeneza traffic yakufa mtu na wao wana make monihawana ubavu huo.
tunaifanya jf kuwa bize wanaanzaje kuufuta
wote hutuwezi bana..., sema unanipendaNawapenda