Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vijana wa Lumumba hawezi kuja huku....Hivi le mpumbz akili ndogo anaweza kuja huku kudai like na yeye...
Unapiga like tuNiko kwenye foleni
Itakuwa ni mimi huyoHabari ya hivi punde:
Kuna mtu kapokea likes mpaka anajutia kwanin yupo Jf
IndeedKwa kweli asante mleta mada u made my day nimeiinjoy hii thread... No stress!
Mi nasubiri ya Gwajima, JPM na Mwigulu nashangaa sizioniSijaona Like ya Bashite
Kila post humu kwenye huu uzi like yangu lazima ipite kama saini ya magu kwenye mikataba
Huo ni utani bwana mkuu, sio kila wakati lazima tuwe serious.Bombadier haiwez kubeba makinikia hata siku moja!
Niggaz
Tuondoke ili iweje sasa..Mpoo