Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Like hadi mb zinaomba pooWote mmejipanga kweli, maana najua mb kwa wengine zimeanza kusumbua.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haki huu Uzi umenikuna sana.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kumbe upo huku!!!
Alete makontena maana wengine kama ndio tunaanzahuyu mrembo kadhamiria kuondoka na makontena ya likes anakomenti na kujizolea likes tu ahahhaah
Hiyo avatar ni yako dear...!!!?Huu uzi mtamu sanaa yaan
Acha hiyoMods futeni hii kitu..
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Weka like hukoHuu uzi utanikoma leo
Pita na hapaKila post humu kwenye huu uzi like yangu lazima ipite kama saini ya magu kwenye mikataba
Kisiwa cha like ndio hapaHaaa haaa haaa hiii ndo jf
Hata mimi mpenzi, hebu tutoe stress huku kama enzi zile.Imebidi niufungue nijue kuna nini humu? Maana sio kwa kasi hii!! Umenikumbusha uzi wetu wa kiba's fans
JamboHuo ni utani bwana mkuu, sio kila wakati lazima tuwe serious.
Smile...