wiseboy
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 2,930
- 3,305
Ukhuty km uko single niruhusu nikuibukie tuchat nipate usingizi tuachane na hawa jamaa wa team kidole gumba juu (likes)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukhuty km uko single niruhusu nikuibukie tuchat nipate usingizi tuachane na hawa jamaa wa team kidole gumba juu (likes)
Ukilala umelaliwa hapa bora nikae mpaka nione mwisho wa hizi likesMkuu jaribu kulala kama umechoka. Likes hata kesho utazikuta [emoji23][emoji23][emoji23]
Nzuri mpendwaZa kupotea?
ChanteeeChukua hiyo. Mimi ndani ya dakika nishapewa 5 i like this!
Yanalindwa kwa mizinga mkuu.Wekea makinikia kitapona.
Toa likes kwangu ndio ulaleTired
Zikiendelea non stop kama kule Makapuku utafanyeje? Utaacha hata kazi ili ushughulike na likes tu?Ukilala umelaliwa hapa bora nikae mpaka nione mwisho wa hizi likes
Punguza siku za kuishi unaiita majukumu ya ndoa! Usiku huwa ni wa kulala sio kuhemeana [emoji3]Ooh! Thanxx 4 ur likes watu wangu wa nguvu ,kesho jamani,ngoja nimalizane na majukumu ya ndoa hapa,uwiiiii 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂
na kwako piausiku mwema jemeni