Me I and my self
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 4,077
- 8,828
Naombeni mwenye pin ndogo aniazime please jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha kabisHapa leo tugawana likes kama fedha za Escrow
Iweke hapa tuipe likesSABATO NJEMA
Exodus 20 : 8
Ikumbuke Siku ya Sabato Uitakase............
yaani kazi kwako tu comment kadri upendavyo ujazwe likesMi hata sina mengi,naombeni likes zenu tu na roho yangu itatulia.
Chukua likea kwanza wakati ukisubiria charger yakoNaombeni mwenye pin ndogo aniazime please jamani
Labda tuwe tunaishi koromije, sio kwa misosi hiyo.Niko njiani narudi... Songa ugali dagaa, usisahau kupitia mtindi pale kwa Mangi... Karanga zako nimekubebea!
Zile korosho jikoni bado zipo?? Mihigo mibichi asubuhi niliona bado ipo mingi tu...
I miss you [emoji7] [emoji8]
Nifah bado mapema wape likes tano ulaleUwiiiiiiiii bado mpo tu? Mie nimechoka kwakweli.
Kwaherini jama, panapo majaaliwa.
Nimerefresh akili vya kutosha, asanteni wote...Hasa mliokomenti kwa kutumia neno 'makinikia' [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa kweli looh na karang juu usije ukapitiwa[emoji85] [emoji85]Daku la kibabe [emoji23] [emoji23]
baada ya hapo unakula kama hujashiba kula likeSamahani wadau nipo napika pilau nyama
Tayari nishaweka magadi ,hivi nikitoka hapa nafanyeje?
Hapo aweke makanikiaTumbukiza kisamvu mkuu
mbn haulikiki?Mmmm